Hadithi ya Katope

KShs 450

9 in stock

SKU: 2024MKU22 Category: Tag:
 

Description

Wazee wawili, Bwana na Bibi Mgogo, hawakujaaliwa hata mtoto mmoja. Katika saa za lala salama za umri wao ­ hawana mtoto ­ maisha yao yanakuwa ya huzuni lakini ndoto inabadilisha maisha yao ­ wanapata mtoto kwa njia ya ajabu ­ Je ni njia ipi hiyo? na nini kilimpata mtoto huyo baada ya kutosikia la mzazi…!