Nahau za Kiswahili: Maana na Matumizi

KShs 500

8 in stock

SKU: 2024MKU21 Category: Tag:
 

Description

Kitabu hiki kinakusudiwa kwa wapenzi wote wa Kiswahili, hasa wanafunzi. Kina jumla ya nahau mia moja na kumi za lugha ya Kiswahili. Pamoja na hayo, kuna michoro kwa ajili ya baadhi ya nahau. Michoro hii ni kukufanya msomaji kupata tabasamu unaposoma nahau hizi.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Nahau za Kiswahili: Maana na Matumizi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *