Kisa Cha Ngómbe na Simba

KShs 400

3 in stock

SKU: 2024MKU10 Category: Tag:
 

Description

Kukosa katika maisha ni jambo la kawaida. Kusameheana huleta maelewano zaidi na kuleta maisha. Kutokusamehe huleta mauti na maumivu. Mwana Simba hakuwa tayari kusamehe, hatimaye alipatwa na maumivu.