Description
Wazee wawili, Bwana na Bibi Mgogo, hawakujaaliwa hata mtoto mmoja. Katika saa za lala salama za umri wao  hawana mtoto  maisha yao yanakuwa ya huzuni lakini ndoto inabadilisha maisha yao  wanapata mtoto kwa njia ya ajabu  Je ni njia ipi hiyo? na nini kilimpata mtoto huyo baada ya kutosikia la mzazi…!
 
                    
 
	         
	         
	         
	        
Reviews
There are no reviews yet.